From WikiRecord, the encyclopedia of everything · from the Swahili Wikipedia
Meta Hortense Given (25 Januari 1888 – 17 Novemba 1981)[1] alikuwa mjasiriamali kutoka Marekani, mtaalamu wa lishe, mtaalamu wa uchumi wa nyumbani (home economist), mpiga picha, na mwandishi maarufu wa vitabu vya mapishi vilivyouzwa sana (cookbook author).
Marejeo
- ↑ "Meta Given," Ancient Faces, Internet website [(http://www.ancientfaces.com/person/meta-given/47147144)], accessed August 1, 2014.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Meta Given kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Lists: Chefs